HATI YA UTOAJI HUDUMA KWA WATEJA
October 26, 2023 2023-10-26 6:32HATI YA UTOAJI HUDUMA KWA WATEJA
HATI YA UTOAJI HUDUMA KWA WATEJA
NA. | HUDUMA | WAJIBU/MAHITAJI/MASHARTI YA KUPATA HUDUMA | ADA/MALIPO | MUDA | WAHUSIKA | |
1. | Kutafuta habari | Kutembelea chuo kwa hiari | Bure | Dakika 10 | Idara zote | |
2. | Kutafuta taarifa | Kupiga simu | Bure | Dakika 10 | Idara zote | |
3. | Kupiga simu | Kuitikia simu iliyopigwa | Bure | Milio 3 | Idara zote | |
4. | Mawasiliano ya Kinyaraka/barua | Kujibu mawasiliano ya kinyaraka (Baruapepe/barua za kawaida n.k) | Bure | Ndani ya saa 48 | Idara zote | |
5. | Ofisi kufungua milango kuhudumia wateja | Wafanyakazi kuwahudumia wateja | Bure | Kuanzia 8.00 asubuhi hadi 5.00 jioni siku za wiki. | Idara zote | |
6. | Udahili wa wanafunzi | Wanafunzi wanaofadhiliwa na serikali | • Orodha ya wanafunzi waliofuzu kutoka KUCCPS | Bure | Within 1 month of application | Msajili (Masuala ya Wanafunzi na Elimu) |
Wanafunzi wanaofadhili masomo yao kibinafsi | • Kutimiza masharti ya kimsingi ya udahili wa kozi husika • Kulipa ada ya kutuma maombi ya udahili | Astashahada: 500/= Stashahada: 500/= Shahada:1000/= Uzamili: 2000/= Uzamifu: 3000/= | Ndani ya mwezi mmoja wa kutuma maombi | Msajili (Masuala ya Wanafunzi na Elimu) | ||
7. | Mihadhara | • Usajili wa kozi mbalimbali • Uhudhuriaji wa mihadhara • Zana za kujifunzia | Kwa mujibu wa cheti cha ulipaji ada/karo | Wiki 14 za kwanza za semista | Wakuu wa Idara husika | |
8. | Mitihani | • Thuluthi mbili ya idadi ya wanafunzi • Kitambulisho cha mwanafunzi • Kibali cha kufanya mtihani | Kwa mujibu wa cheti cha ulipaji ada/karo | Wiki mbili za mwisho wa semista | Wakuu wa Idara zote za kielimu | |
9. | Utoaji wa vyeti na stakabadhi nyinginezo za mwisho kwa wahitimu baada ya mahafali | • Kuhitimu kikamilifu na kutimiza vigezo mahususi vya kozi husika • Kitambulisho cha kitaifa au pasi • Cheti cha kuidhinishwa kumaliza • Idhibati ya malipo ya ada ya mahafali | Bure | Vyeti na stakabadhi kutolewa mwezi mmoja baada ya mahafali. | Msajili (Masuala ya Wanafunzi na Elimu) | |
10. | Uajiri a) Mahojiano kwa ajili ya ajira | Mwaliko kwa mahojiano kwa ajili ya ajiri | Bure | Ndani ya miezi miwili baada ya kupokelewa kwa maombi ya ajira | Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Wafanyakazi | |
b) Mawasiliano kwa waajiriwa waliofuzu mahojiano ya ajira | Maelezo ya mawasiliano: • Anwani ya pepe • Namba ya simu | Bure | Ndani ya mwezi mmoja baada ya siku ya mahojiano | |||
11. | Huduma za afya | § Kitambulisho cha mfanyakazi au mwanafunzi
| Bure | Mara moja | Mkuu wa Idara ya Huduma za Afya | |
12. | Ununuzi wa Bidhaa na Huduma | Uzingatiaji wa Kanuni na Sheria ya Ununuzi ya 2015 | Bure | Kufanyika ndani ya siku 60 | Mkuu wa Idara ya Ununuzi | |
13. | Huduma za Maakuli na Malazi | Chuo kitawafahamisha wanafunzi wanafunzi kuhusu kuwepo kwa huduma za maakuli na malazi | Bure | Wanafunzi watajulishwa wiki mbili kabla ya semista kuanza | Mkuu wa Idara ya huduma za maakuli na malazi | |
14. | Malalamiko ya utoaji wa huduma | Uwasilishaji rasmi wa malalamiko | Bure | Siku 14 baada ya kupokelewa kwa malalamiko | Kamati inayoshughulikia malalamiko chuoni |
WE ARE COMMITED TO COURTESY AND EXCELLENCE IN SERVICE DELIVERY
Any service/good rendered that does not conform to the above standards or any officer who does not live up to commitment to courtesy and excellence in Service Delivery should be reported to:
Prof. Ahmed O. Warfa, PhD Vice Chancellor Garissa University P. O. Box 70100-1801 Garissa Email: info@gau.ac.ke | The Commission Secretary/Chief Executive Officer Commission on Administrative Jusitce, 2nd Floor, West End Towers, Waiyaki Way, Nairobi. Q. O. Box 20414-00200 Nairobi R. Tel: +254 (0)20 2270000/2303000 |