University Anthem

University Anthem

English Version

Almighty Lord Be Our Guide
In Garissa University
As we create this wonderful oasis of innovaton

In our vision to be a world class university
Of technological processes and development

In our mission to nurture talent Through teaching, research, community service and innovaton Almighty Lord Be Our Guide

In Garissa University

Kiswahili Version

Eh Mungu Tuongoze
Chuo kikuu cha Garissa
Tunapo jenga chimbe hili bora la ubunifu

Kwa maono yetu kuwa chuo bora duniani Cha tekinolojia yenye maendeleo

Kwa lengo letu kukuza vipawa
Kwa ufundishaji, Utafi2, huduma na ubunifu

Eh Mungu Tuongoze Chuo kikuu cha Garissa

Skip to content